umojannguvu.blogspot.com

Wednesday, 4 November 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja. RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR ...

Museveni asema ana imani atashinda urais

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema wagombea urais wanaoshindana naye kwenye uchaguzi mkuu mwaka ujao si tishio kwake. “Hiki hakitakuwa kinyang’anyiro kikali,” ameambia kikao cha wanahabari mjini Kampala. Wapinzani wakuu wa Bw Museveni wanatarajiwa kuwa Amama Mbabazi na Kizza Besigye, ambao walikuwa marafiki wake wakuu wakati mmoja. "Nasikia watu wakizungumza kuhusu kupiga vita ufisadi. Utawezaje kukabiliana na ufisadi ilhali twasikia...

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania amefanya mazungumzo na makamu wa rais wa kwanza kisiwani Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya chama cha upinzani (CUF) Maalim Seif katika Ikulu Jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo inajiri wakati ambapo kuna mkwamo wa kisiasa kisiwani humo baada ya Tume ya Uchaguzi(ZEC) kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika . Hatahivyo mwandishi...

What is Computer Security?

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books