umojannguvu.blogspot.com

Wednesday 4 November 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SHARIFF SEIF HAMAD

 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Shariff Seif Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini dar es SalaamWakiwa katika picha ya pamoja.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF IKULU JIJINI DAR

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. (Picha na Freddy Maro /… ...

 

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA TAMWA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya viongozi Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Zanzibar (TAMWA Zanzibar), walipofika nyumbani kwake Mbweni kwa ajili ya mazungumzo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa nyumbani kwake Mbweni.
Mratibu wa TAMWA Zanzibar bi Mzuri Issa akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe....


Rais Kikwete akutana na Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo. (picha na Freddy Maro) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

0 comments:

Post a Comment

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books