umojannguvu.blogspot.com

Tuesday, 1 September 2015

DK. SLAA: SIKUWA LIKIZO, NILIAMUA KUACHANA NA SIASA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa amesema hakuwa likizo ila aliamua kuachana na siasa baada ya kutokubaliana na maamuzi ya chama chake yaliyotokea Julai 28,2015 saa 3 usiku.



Wanahabari wa Kampuni ya Global Publishers wakiwa ofisini kwao, Bamaga, Mwenge wakifuatilia hotuba ya Dk. Slaa iliyokuwa ikifanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar.

Asema lazima ajitokeze kusema na kuweka ukweli hadharani
Asema sina tabia ya kuchengachenga nasimamia ninachokiamini Mengi yamesemwa na kuandikwa magazetini

Sina ugomvi na kiongozi yoyote, maana siasa si ugomvi, sina chuki, sina hasira na mtu yeyote

Siasa inayoongozwa na propaganda, ulaghai ni kuleta vurugu katika taifa na nimekataa hayo yote.Ni kweli nilishiriki katika majadiliano tangu mwanzo
Misingi niliyoweka ni kwamba Lowassa atangaze kuwa ameachana na chama chake na aeleze anakwenda chama gani kwanza na ajisafishe na tuhuma zake
Asema hawezi kumsafisha mtu bila yeye kufanya hivyo
Asema alihoji kama Lowassa anakuja Chadema kama faida au mzigo (assets au liability)
Asema anataka mgombea mwenye uwezo, sifa na kuiongoza Chadema kuiondoa CCM.
Kama ni assets anakuja na akina nani? vijana wa mitaani, bodaboda au watu wa aina gani? ni viongozi makini?

Asema aliambiwa kuwa anahama na wabunge 50, wenyeviti wa mikoa 22, wenyeviti wa CCM wilaya 82.
Sikupewa majina ya wabunge wala wenyeviti.

Nikatakiwa kuitisha kikao nikaitisha lakini sikuwa na majibu kama Lowassa ni  Assets au Liability. Tangu 2004 sikuwahi kutofautina na mwenyekiti wangu bali tulitofautia kwa hilo
Asema aliandika barua ya kujiuzulu kwa M/kiti Prof. Safari barua ikachanwa.

Siasa ni sayansi haitaki uongo wala ulaghai au propaganda Asema mke wake halipwi chochote kutoka Chadema na amekuwa akizunguka nchini kwa mshahara wa Dk. Slaa.



0 comments:

Post a Comment

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books