umojannguvu.blogspot.com

Sunday, 23 August 2015

KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Wahamiaji 2000 waokolewa Mediterranea

Walinzi wa pwani wa Utaliano wanasema kuwa waliaongoza shughuli za kuwaokoa wahamiaji 2,000 hivi ambao walituma ishara ya kuwa taabani kwenye mashua nje ya pwani ya Libya. Mashua kadha zinashiriki katika uokozi. Bahari baina ya Libya na Utaliano, ndio njia inayotumiwa kwa muda mrefu, na wakimbizi kutoka Afrika na Mashariki ya Kati, ili kuingia Ulaya. Kati ya wahamiaji 264,500 Umoja wa mataifa unasema kuwa bahari ya Mediterranea ndio...

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemsuta kiongozi wa upinzani wa Kenya, Raila Odinga, kwa kupinga mkataba wa uuzaji wa sukari uliotiwa sahihi majuzi.

Museveni alisema kuwa Odinga hafaaamu anachokisema. ''hata ndugu yangu odinga anazungumzia maswala ya sukari,bila kufahamu ukweli wa maswala hayo'' Museveni. Kenya imekuwa ikizuia sukari yetu na mahindi ilihali Uganda imekuwa ikiagiza bidhaa za thamani kubwa pasi na kujali kuwa inawasaidia kujiendeleza. ''Wewe ni mkurugenzi wa kampuni ilihali kazi yako kubwa ni kuzuia sukari ya Uganda isiingie Kenya.   Hii ni akiligani jamani...

Iran na Uingereza kufungua balozi zao

Uingereza na Iran zinatarajiwa kufungua balozi kwenye miji yao mikuu licha ya kuwepo uhusiano mbaya katika ya Iran na nchi za magharibi. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Iran Philip Hammond anatarajiwa kuwasili mjini Tehran kwa sherehe hizo. Atakuwa afisa wa kwanza wa ngazi ya juu zaidi wa Uingereza kuzuru Iran tangu miaka 12 iliyopita. Ubalozi wa uingereza ulifungwa mwaka 2011 wakati ulisakwa na waandamanaji. Makubaliano ya nyukia...

Saturday, 22 August 2015

Mkuu wa mkoa wa mbeya Abbas Kandoro asisitiza wanainchi kuwa makini

Mkuu wa mkoa wa mbeya Abbas Kandoro amesisitiza wananchi kuepuka kuwa chanzo cha kuvuruga amani katika kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi Amesisitiza wanainchi kusikiliza kwa makini sera za wagombea wao ili kuweza kuchagua kiongozi bora na sio kiongozi mwenye tamaa na madaraka ...

Sumaye kutimkia Chadema leo tazama matukio katika picha hapa

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...
Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books