umojannguvu.blogspot.com

Saturday, 22 August 2015

Waziri mkuu wa zamani Frederick Tluway Sumaye ametangaza rasmi kuhamia CHADEMA





Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa miaka 10 (1995 – 2005) akifanya kazi na Rais Mkapa Mh Frederick Tluway Sumaye ametangaza rasmi kuhamia CHADEMA (Ukawa) leo asubuhi.

Mh Frederick Tluway Sumaye  aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania kuanzia Novemba 28, 1995 hadi Desemba, 30, 2005 wakati wa uongozi wa rais wa amamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa.

Msomi huyo wa Harvard amesema kuwa anajiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ili kuimarisha upinzani.

Frederick Sumaye anakuwa kiongozi wa pili wa juu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhamia Chadema (Ukawa) baada ya Edward Lowassa ambaye alikihama chama hiko mapema mwezi Agosti na kuteuliwa kugombea urais kupitia chama hiko katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 25, mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books