umojannguvu.blogspot.com

Thursday 20 August 2015

UDOM YAKARIBISHA MAOMBI YA CHETI NA DIPLOMA KWA WALIOISHIA FORM FOUR




CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanzisha programu za Cheti na Stashahada (Diploma) ambapo walengwa ni vijana ambao hawakupata nafasi ya kuingia kidato cha tano.

Akizungumza na gazeti la HabariLeo juzi katika Viwanja vya Maonesho vya Nane-Nane, Ofisa Uhusiano wa chuo hicho, Radhia Rajab alisema kozi hizo mpya zinatarajiwa kuanza muhula wa masomo wa mwaka 2013/2014 unaotarajia kuanza Oktoba mwaka huu.

Alisema baadhi ya kozi za:


Cheti zitakazotolewa ni pamoja na: 

Uandishi wa Habari, 

Uhasibu, Masoko, Utalii, Ufugaji Nyuki, 

Utengenezaji wa Matangazo, 

Uongozi na Ustawi wa Jamii.

Diploma ni pamoja na: Uuguzi, Ufamasia, Mawasiliano kwa Umma, Utengenezaji wa filamu, Utaalamu wa Maabara, Kiswahili, Uhasibu na nyinginezo.

Alisema lengo la kozi hizo ni kuona wanafunzi wengi walio mitaani wanajiunga na chuo hicho ambapo sifa kubwa ni kuwa na kiwango cha ufaulu wa alama D katika masomo manne.  

0 comments:

Post a Comment

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books