umojannguvu.blogspot.com

Friday, 21 August 2015

ACT YATAMBULISHA MGOMBEA URAIS NA MGOMBEA MWENZA






 Prof. Mkumbo akimkaribisha mgombea urais, Bi. Anna Elisha.

Bi Anna Elisha akizungumza na wanachama muda mfupi baada ya kutambulishwa.



Kabwe akizungumza na wanachama.



Mgombea mwenza, Hamad Musa Yusuph.



Mshauri mkuu wa chama hicho, Prof. Kitila Mkumbo akisaini baadhi ya nyaraka muhimu, muda mfupi baada ya kuwasili.

 
Pro. Mkumbo akiteta jambo na mmoja wa wanachama.



Mgombea urais wa chama hicho, Bi. Anna Mgwhira katika pozi.



Baadhi ya wanachama wakifurahia hafla hiyo.
CHAMA cha ACT-Wazalendo, jana kiliteua na kutambulishamgombea kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Anna Elisha Mghwira (56) ambapo mgombea mwenza ni Hamad Musa Yusuph (41), watu watakaopepesuaha bendera ya chama hicho.




0 comments:

Post a Comment

Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

CHAT BOX

Post zilizo tumwa

Recent Posts Widget

Tangaza Biashara yako mtandaoni

TANGAZA BIASHARA NAMI HAPA KWA BEI NAFUU KABISA

Unaweza kutangaza biashara yako sasa na hlmservice pia uta pata kujua mambo mengi ambayo mbali na biashara yako unaweza ukatengeneza pesa kwa namna moja ama nyingine kama jinsi nilivo elezea katika Makala za nyuma hapo

Wafanya biashara wengi wanatumia mda mwingi namna gani ya kukuza biashara zao ,Ili uweze kufanikiwa kwa kiasi kikubwa unahitaji kuitangaza biashara yako ili kuwa na mtandao mkubwa na wateja wako ,ni vyema ukatangaza biashara yako katika mitandao ili bidhaa zako zijulikane kwa haraka na upesi .

Pia wewe mfanya biashara ukiitaji kuwa na blog yako wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini , bei ni nafuu kabisa

Pia ukiitaji kuitangaza biashara yako kupitia blog yangu bei ni ndogo kabisa huu ni wakati wako wewe mfanya biashara

+255758061575 & +255684860817

henrylameck@gmail.com

henrylameck90@yahoo.com

Tukuyu Tour & Safari

Vadacom Ni Zaidi

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Tembelea g2g.fm upate movie Kali

Kilimo Kwanza

Hlm servise

Latest movie

Movies

Computer books

Computer books