JIFUNZE KUTOA SHOTCUT VIRUS HAPA
FAHAMU KUHUSU VIRUS
Virus, ni program ambazo zimetengenezwa kwa madhumuni ambayo
wewe mtumiaji wa kompyuta hauyahitaji ndio maana hata jinsi vinavyoingia kwa
kompyuta ni kwa kuvizia kutokufahamu kwako kuwa program hizo zinafanya nini na
kwamba zinaingia humo kwa kompyuta. Virusi huingia kwa kompyuta fulani kwa njia
mbalimbali mfano kwa kusambazwa kwa email, kwa kusambazwa kwa kutumia flash
disk, CD,DVD, au kwa kubofya ‘link’ yenye kubeba kirusi husika kwa kompyuta
iliyounganishwa na internet.
Kuna
sababu kadhaa kwanini watu watengeneze Virusi;
Sababu za
kibiashara: Baadhi
hutengeneza virusi ili waweze kuuza Program za kuzuia virus (Anti-virus), na
wengine hutengeneza virusi ili waweze kuua biashara za washindani wao.
Wizi: Baadhi ya watu hutengeneza virusi ili waweze kuiba taarifa
fulani fulani za wengine, ikiwemo password, taarifa za mbinu za kibiashara,
taarifa nyingine za kiutendaji na kimaendeleo n.k
Kuna aina
mbali mbali za virus ambazo ni kama Trojan, Worm, na Virus
Watu wengi sana wanasumbuliwa na virus mmoja anae fanya
files zote katika flash yako ama computer yako kuwa shotcut (Shotcut virus)
Mara nyingine virus huyu anaweza kuya ficha ma file yako
ukadhani yame futika kumbe bado yapo katika flash yako , Watu wengi wanapo ona
tatizo hilo wanadhani flash zao haziwezi kufanya kazi tena basi leo nakutoa
hofu kabisa kwamba hilo sio tatizo kwako tena kwasababu ntakupa njia rahisi Zaidi
na haraka sana uweze kuifanya flash yako kuwa salama wakati wote
Muonekano wa shotcut file
Katika computer yako kuna program ina itwa (cmd) au
command prompt hii program ndio suruhisho la kusolve tatizo lako
JINSI YA KUONDOA VIRUS TAZAMA NJIA
ZIFUATAZO
NJIA
YA KWANZA
Bonyeza button ya window+R kisha andika cmd bonyeza Enter button , Command prompt
itafunguka
Kisha andika jina la flash yako ama drive yako iliyo
athirika kwa virus kwa mfano
E: kisha bonyeza
enter
Baada ya hapo andika zode hii attrib -h -s -r -a /s /d e:*.*
Au tazama attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
Ukisha andika code hapo juu uta bonyeza Enter button file
za virus zitajitenga na file ambazo ni salama sasa utakacho kifanya ni ku futa
shotcut zote
NJIA
YA PILI
Toa Shotcut virus kwa .bat file unaweza tengeneza .bat
file kwa kutumia notepad program katika computer yako
Fungua notepad file kwa ku bofya window key + R kisha andika
notepad
Copy code hapa chini kisha
@echo off
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
attrib -h -s -r -a /s /d Drive-Name:*.*
@echo complete
Badilisha Driver name kwa jina la flash yako
Save notepad file kama removevirus.bat kisha save. Hakikisha umesave file yako juu ya Desktop
Kisha fungua file yako uliyo save katika Desktop
Baada ya hapo shotcut virus wote watatoka
NJIA YA TATU
Unaweza toa shotcut virus kwa program ina itwa Shotcut Virus remover .Baada yak u download program yako itaonekana kama hivi
Baada ya kuchagua flash yako unayo hitaji kutoa virus kisha
bofya scan Button
Ukisha maliza kuscan basi uta Bofya delete button kuondoa shotcut
Download shotcut virus remove hapa
http://www.shortcutremover.com/download/index.php
Kwa maoni , Ushauri , maelezo zaidi wasiliana nami kwa mawasiliano hapo chini
+255765327325 henrylameck@gmail.com
Toa Shotcut Virus Katika Flash Yako Bila Ya Kuwa Na Untivirus ~ Computer Services >>>>> Download Now
ReplyDelete>>>>> Download Full
Toa Shotcut Virus Katika Flash Yako Bila Ya Kuwa Na Untivirus ~ Computer Services >>>>> Download LINK
>>>>> Download Now
Toa Shotcut Virus Katika Flash Yako Bila Ya Kuwa Na Untivirus ~ Computer Services >>>>> Download Full
>>>>> Download LINK vO