Soma Ushuhuda huu toka kwa Mwanachuo Wilbard
Patrice utakugusa kwa namna ya kipekee, Hususani ikiwa Mwajiriwa au ni
Mwanafunzi kama yeye
Anaitwa
Wilbard Patrice Mallya ni mzaliwa wa Kwanza katika Familia ya Mr. Patrice
Mallya wa mjini Arusha, na kwa sasa anaishi Dar Es Salaam!! Akiwa kama
Mwanafunzi katika Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, Shahada ya Mahusiano kwa Uma na
Utangazaji Yani (B.A in Public Relation and Advertising)
Lakini
vilevile pia ni Network Marketing Professional, akiwa kama Mmiliki wa Biashara
ya Forever Living, yani Forever Business Owner (FBO) Akiwa kama Kijana kabla
hajajiunga na chuo kikuu wakati bado akiwa kidato cha sita, alikuwa akitamani
sana kuishi maisha ambayo wanaishi watoto wa ndugu zake wenye mafanikio, Akiwa
ametokea kwenye Familia ya Kawaida sana, Mama akiwa Mwajiriwa na Baba akiwa
mfanya biashara wa kawaida, hakuweza kupata nafasi ya kuishi Maisha ya Kifahari
kama wenzake, na hivyo basi alikuwa akimwomba sana Mungu afaulu Vizuri Mitiani
yake ya mwisho ili achaguliwe kujiunga na chuo kikuu. Na mwenyezi Mungu
alimsaidia hilo likatimia. Kufika chuoni alizidi kupata changamoto na kujiona
Maskini kabisa baada ya kujikuta akizungukwa na marafiki ambao wametoka katika
Familia zenye uwezo na mafanikio zaidi, na wengi wao walikua wanamiliki vitu
vya kifahari na Gharama sana kama Mac Book (Laptop za Apple zenye bei ghali),
Simu nzuri Kama "Iphone 6 & Samsung Galaxy Note" pia na kuna
wengine walikuwa wanamiliki Magari yao wakiwa mwaka wa kwanza, hivyo basi akiwa
kama rafiki tu wakaribu alijaribu kuuficha ukweli na kujifanya na yeye hali ni
nzuri tu kama wao ila mwisho wa siku alikuwa anaumia Moyoni kwa sababu alikuwa
hawezi kumiliki vitu ambavyo wenzake wanavyo miliki, na kusababisha kujihisi
kujitenga na kuto kufanania nao. (Haya yamekuwa maisha ya vijana wengi sana,
kuigiza kuishi maisha ambayo kiukweli sio yao).
Baada ya
kuona Ndoto zake zote zimekufa na kutokuweza kuishi maisha mazuri aliyoyapenda
ndipo alipokutana na malaika ambaye alikuwa ni Kijana Mwanafunzi mwenzake, kwa
majina YEKONIA BALIENDEZA ambaye bila uchoyo wowote alimuonyesha Fursa ambayo
leo hii imebadilisha kabisa Maisha yake na Mtazamo kiujumla!! Ali mhabarisha
juu ya jinsi atakavyo weza kuishi maisha ya Ndoto Zake na kuwa na uwezo wa
kutengeneza Kipato akiwa bado mwanafunzi, Kupitia Kampuni ya kimataifa iliyopo
nchi zaidi ya 158 duniani ya Forever Living Products, Na kumfanya ahamasike na
kumpa nafasi ya kumuelewesha zaidi, Alishangazwa na jinsi gani alivyokuwa
anaifikiria Biashara ya Forever na jinsi alivyo elezewa vilikuwa ni vitu
tofauti kabisa na alivyoelewa, alihisi anaijua lakini kumbe alikuwa anaisikia
tu! na kuto kuijui vizuri, Baada ya hapo Alielewa Sana na kujiona na yeye
tayari ataweza kumiliki Simu nzuri (Iphone 6 Plus), na Kuendesha Gari Lake
akiwa bado Mwanafunzi, Alielewa sifa kubwa ya kuwa mjasiriamali ni kutafuta
mtaji na hivyo basi alitafuta mtaji kwa nguvu zake zote ili aianze hii
Biashara. Anasema ilikuwa ni Changamoto kuupata mtaji, lakini hakuruhusu kiwe
ndiyo kikwazo kwake kufikia maisha ya ndoto zake anayotaka
kuyaishi....Aliwaomba Marafiki zake wa karibu, ndugu na jamaa lakini waliishia
kumkatisha tamaa, kumcheka na kumvunja moyo, hivyo hakufanikiwa kupata pesa
kutoka kwao!! Lakini bado aliendelea kuota ndoto za maisha anayotaka
kuyaishi...na alielewa 'mtaji haujawahi mzuia mtu mwenye ndoto yake ya dhati'
hakusikiliza neno la mtu, alikuwa anajua fika anachokitaka! nacho ni kimoja tu
"KUFANIKIWA" tu!! Baada ya kukosa kote alichukua maamuzi magumu ya
kuuza Laptop yake ndogo ili apate mtaji wa kuanza hii biashara. Na akafanikiwa
kufanya hivyo!! Safari yake ya mafanikio na Forever Living Products ilianza
Tarehe 13 January 2014. Akiwa ameshikwa mkono na Viongozi wake Yekonia
Bigirimana Baliyendeza, Lightness Salema na Khushe Hauli Alifuata kanuni ya
Mungu HABAKUKI 2:2 Na Kuandika Njozi zake kwenye Ubao wake wa Ndoto (Dream
Board) vile vitu vyote ambavyo alivyokuwa akivitamani ktk maisha yake! na
kuamua kufocus na kuifanya hii biashara kwa bidii bila kusikiliza maneno ya
watu waliokuwa wanambeza hakupoteza Muda wake, na aliutumia vizuri...kwa kuto
kufanya kwa lugha ya kingereza Non Income Generating Activities NIGA (shughuli
zisizo muingizia kipato)..na badala yake kufanya shughuli zitakazo muwezesha
kuingiza kipato yaani IGA.... Baada ya vipindi na kumaliza ratiba yake ya
kujisomea alijitengea muda wakuifanya hii biashara. NDOTO ZINATIMIA: Leo hii
yupo kwenye Biashara kwa kipindi cha Mwaka Mmoja na Nusu na ameweza kufikia
Ngazi ya Manager, ambapo pato lake anapokea walau Tsh Millioni 2 mpaka 4 kwa
Mwezi!! Anaendelea kusema Kupitia Forever living anauwezo wa kutengeneza kipato
chenye tija kwa mwezi, na anashukuru mwenyezi mungu kwa kuwa hana tena shida
ndogo ndogo kama ilivyokuwa mwanzo! Ameweza kupanga Nyumba yake, Haishi tena
Hosteli, na biashara hii inamuwezasha kulipia pango/ kodi bila Shida!
Ameweza
kuwapunguzia wazazi wake mzigo wa kumsomesha, kwa kuwa sasa ana uwezo wa
kujilipia ada yake ya Chuo Na Pesa za Matumizi haombi tena nyumbani... Pia
anamshukuru Mungu, Kupitia hii fursa anaishi maisha yenye afya bora, anaishi
LIFESTYLE aliyokuwa anatamani kwa wenzake, kwenda Movies Cinema, Swimming,
Kuvaa Vizuri na pia kusaidia wengine wenye nia na malengo ya kufanikiwa... Na
pia ameweza Kutimiza Ndoto yake Moja kubwa ya Kununua Simu ya ndoto zake Best
Phone (iPHONE 6 PLUS GOLD 64GB). Anasema Maisha yote aliyoyataka, ambayo
alikuwa anayaona kama hayakamatiki na ni ya watu fulani fulani tu! Forever sasa
Imeanza kumpatia, na akijiangalia Mpaka ukifika muda wa kumaliza masomo yake ya
Chuo atakuwa amepiga hatua kubwa sana ktk maisha yake, kwa uwezo wa Mungu
hatakuwa na sababu za kutembeza CV na Kutafuta Ajira tena kama mamillioni ya
vijana wengine wanavyofanya na kutaabika na ajira. Anamalizia kwa kusema Kama
Wengine wameweza, Yeye ameweza, basi na Wewe Pia msomaji Unaweza...
Kinachotakiwa ni kuwa na malengo na ndoto unazotaka zitimie ktk maisha yako! na
kutafuta nafasi uelezewe kwa undani Kuhusiana na hii Fursa na nini Haswa
tunachokifanya!!! Ahsante!! Ikiwa umehamasika na ungependa kuchukua hatua
kujifunza Biashara
0 comments:
Post a Comment